Aliyeshiriki kuchanganya udongo wa Muungano kuzikwa Jumatano
Hassaniel Mrema (80), mmoja wa vijana walioshiriki tukio la kuchanganya udongo siku ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Aprili 26, 1964, anatarajiwa kuzikwa Jumatano Mei 8, 2024 nyumbani kwake...